Our Blog

April 17 2018 2Comments

WANANCHI 20,000 KUONDOKANA NA ADHA YA MAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA

Wananchi zaidi ya 20,000 wa Vijiji vya Magombwe,Isele,Kinyika na Kisanga wataondokana na adha ya maji mara baada ya Miradi miwili ya upanuzi wa Mradi wa maji Pawaga kwenda vijiji vinne Kata ya Mlenge kukamilika. Akiongea wakati wa hafla ya utiaji sahihi wa Mikataba miwili ya Upanuzi wa Mradi wa maji Pawaga kwenda Vijiji vine vya […]